Opportunities

Home » Opportunities

NAFASI ZA KAZI

WELDING AND FABRICATION TECHNICIANS – 5 POSTS

Kampuni ya Advert Warehouse Limited ya Arusha, inatangaza nafasi tano za kazi kwa mafundi wa welding (kuchomea vyuma).

Majukumu ya fundi ni kama ifuatavyo:-

  •  Kukata na kuunga vyuma kama jinsi atakavyoelekezwa na kiongozi wake.
  •  Kushirikiana na mafundi wengine katika kukamilisha kazi za wateja kwa wakati uliopangwa.
  •  Kuhakikisha mashine na vitendea kazi vyote vinafanya kazi kwa ufanisi unaostahili.

SIFA ZA MUOMBAJI

Muombaji awe na cheti cha ufundi wa welding na fabrication kutoka katika chuo kinachotambuliwa na serikali. Awe na umri kati ya miaka 20 na 30

STAHIKI.

Kampuni italipa mshahara mzuri kulingana na ujuzi na uzoefu wa muombaji. Atalipiwa kodi ya nyumba, matibabu na stahili zote muhimu.

JINSI YA KUOMBA.

Muombaji anaweza kutuma wasifu na vyeti vyake moja kwa moja ofisini, au kwa njia ya barua pepe.

Imetolewa na

Meneja Uendeshaji
Advert Warehouse Limited
P.O. Box 7472 – Arusha

NHC Ngarenaro,
Corner Nairobi Road
Near Faida Mali

Tel: 0754 313364, 0673313364
Email: info@advertwarehouse.co.tz
Website: www.advertwarehouse.co.tz